Esteri UTANGULIZI
UTANGULIZI
Kitabu cha Esteri kinasimulia jinsi Wayuda walivyookolewa kutoka vitisho vya kuangamizwa. Mambo hayo yalitokea kule katika muji wa Susani wakati utawala wa Persia ulipokuwa umeenea katika Mashariki ya Kati yote mpaka Misri. Wamoja kati ya jamaa zenye heshima za watu wa Israeli hawakurudia kwao kutoka Babeli wakati wa kuangamia kwa utawala wa Babeli (mwaka wa 539 mbele ya Kristo).
Currently Selected:
Esteri UTANGULIZI: SWC02
Highlight
Share
Compare
Copy
Want to have your highlights saved across all your devices? Sign up or sign in
Bible in Swahili Congo © Bible Society of the Democratic Republic of Congo (DRC), 2002.