YouVersion Logo
Search Icon

Danieli 11:31-32

Danieli 11:31-32 SWC02

Waaskari wake watalichafua hekalu na kuta zake, watakomesha sadaka za kuteketezwa kwa moto za kila siku na kusimamisha kule katika hekalu chukizo linaloleta uharibifu. Atawashawishi kwa werevu wale walioasi agano, lakini watu wanaokuwa waaminifu kwa Mungu wao watasimama imara na kutenda.

Free Reading Plans and Devotionals related to Danieli 11:31-32