YouVersion Logo
Search Icon

2 Mambo ya Siku UTANGULIZI

UTANGULIZI
Kitabu hiki cha pili cha Mambo ya Siku kinaendelesha masimulizi yale yaliyoachwa na kile cha kwanza. Kinaanza kwa kueleza utawala wa Solomono mpaka kufa kwake. Kisha kinasema juu ya uasi wa utawala wa makabila ya kaskazini. Kinaendelea zaidi kusimulia habari za ufalme wa kusini wa Yuda mpaka wakati wa kuharibiwa kwa muji wa Yerusalema katika mwaka 586 mbele ya Kristo.
Aya za mwisho za kitabu hiki zinapatana na mwanzo wa kitabu cha Ezra.

Highlight

Share

Compare

Copy

None

Want to have your highlights saved across all your devices? Sign up or sign in