YouVersion Logo
Search Icon

1 Samweli UTANGULIZI

UTANGULIZI
Nabii Samweli ambaye jina lake lilipewa kwa kitabu hiki na kile cha pili kinachofuata, alikuwa mumoja wa “Waamuzi” wa mwisho ambao Mungu aliwapatia watu wake. Kitabu hiki kinasema juu ya kuanzishwa kwa utawala wa kifalme katika inchi ya Israeli.
Kitabu hiki cha kwanza cha Samweli kina sehemu tatu:
Sura 1-7: Zinaelekea hasa Samweli mwenyewe.
Sura 8-15: Samweli na Saulo.
Sura 16-37: Saulo na Daudi.

Currently Selected:

1 Samweli UTANGULIZI: SWC02

Highlight

Share

Compare

Copy

None

Want to have your highlights saved across all your devices? Sign up or sign in