YouVersion Logo
Search Icon

1 Samweli 31:4-5

1 Samweli 31:4-5 SWC02

Halafu Saulo akamwambia mutu aliyemubebea silaha: “Chomoa upanga wako unichome nikufe, kusudi watu hawa wapagani wasikuje kunichoma upanga na kunichekelea.” Lakini yule aliyemubebea silaha hakusubutu kwa sababu aliogopa sana. Kwa hiyo, Saulo alitwaa upanga wake mwenyewe, na kuuangukia. Halafu yule aliyemubebea silaha aliona kwamba Saulo amekufa, naye vilevile aliuangukia upanga wake, akakufa pamoja na Saulo.

Free Reading Plans and Devotionals related to 1 Samweli 31:4-5