YouVersion Logo
Search Icon

Matendo 16:27-28

Matendo 16:27-28 TKU

Mkuu wa gereza alipoamka na kuona milango ya gereza imefunguliwa. Alidhani wafungwa wametoroka, hivyo alichukua upanga wake ili ajiue. Lakini Paulo alipaza sauti akamwambia, “Usijidhuru! Sote tuko hapa!”