YouVersion Logo
Search Icon

Mithali 22:5-6

Mithali 22:5-6 SRUV

Miiba na mitego huwa katika njia ya mshupavu; Yeye aitunzaye nafsi yake atakuwa mbali nayo. Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.