YouVersion Logo
Search Icon

Mithali 18:2-3

Mithali 18:2-3 SRUV

Mpumbavu hapendezwi na ufahamu; Ila moyo wake udhihirike tu. Ajapo asiye haki, huja dharau pia; Na pamoja na aibu huja lawama.