YouVersion Logo
Search Icon

1 Samweli 21:12-13

1 Samweli 21:12-13 SRUV

Naye Daudi akayatia maneno hayo moyoni mwake, akamwogopa sana Akishi, mfalme wa Gathi. Akaubadilisha mwenendo wake mbele yao, akajifanya mwenye wazimu mikononi mwao, akakunakuna katika mbao za mlango, na kuyaacha mate yake kuanguka juu ya ndevu zake.

Free Reading Plans and Devotionals related to 1 Samweli 21:12-13