YouVersion Logo
Search Icon

Mk 6:30, 31, 32, 33, 34, 35, 36, 37, 38, 39, 40, 41, 42, 43, 44, 45, 46, 47, 48, 49, 50, 51, 52, 53, 54, 55, 56

Mk 6:32 SUV

Wakaenda zao faragha mashuani, mahali pasipokuwa na watu.

Mk 6:36 SUV

uwaage watu hawa, ili waende zao mashambani na vijijini kandokando, wakajinunulie chakula.

Mk 6:39 SUV

Akawaagiza wawaketishe wote, vikao vikao, penye majani mabichi.

Mk 6:40 SUV

Wakaketi safu safu, hapa mia hapa hamsini.

Mk 6:42 SUV

Wakala wote wakashiba.

Mk 6:44 SUV

Na walioila ile mikate wapata elfu tano wanaume.

Mk 6:46 SUV

Hata alipokwisha kuagana nao akaenda zake mlimani kuomba.

Mk 6:47 SUV

Na kulipokuwa jioni mashua ilikuwa katikati ya bahari, na yeye yu peke yake katika nchi kavu.

Mk 6:49 SUV

Nao walipomwona anatembea juu ya bahari, walidhani ya kuwa ni kivuli, wakapiga yowe

Mk 6:51 SUV

Akapanda mle chomboni walimo; upepo ukakoma; wakashangaa sana mioyoni mwao

Mk 6:52 SUV

kwa maana hawakufahamu habari za ile mikate, lakini mioyo yao ilikuwa mizito.

Mk 6:53 SUV

Hata walipokwisha kuvuka, walifika nchi ya Genesareti, wakatia nanga.

Mk 6:54 SUV

Nao wakiisha kutoka mashuani, mara watu walimtambua

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy