YouVersion Logo
Search Icon

Lk 4:31, 32, 33, 34, 35, 36, 37, 38, 39, 40, 41, 42, 43

Lk 4:31 SUV

Akashuka mpaka Kapernaumu, mji wa Galilaya, akawa akiwafundisha siku ya sabato

Lk 4:32 SUV

wakashangaa mno kwa mafundisho yake, kwa kuwa neno lake lilikuwa na uwezo.

Lk 4:33 SUV

Na ndani ya sinagogi mlikuwa na mtu mwenye roho ya pepo mchafu, akalia kwa sauti kuu

Lk 4:37 SUV

Habari zake zikaenea kila mahali katika nchi ile.

Lk 4:39 SUV

Akasimama karibu naye, akaikemea ile homa, ikamwacha; mara hiyo akaondoka, akawatumikia.

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy