YouVersion Logo
Search Icon

Lk 2:8-9

Lk 2:8-9 SUV

Na katika nchi ile ile walikuwako wachungaji wakikaa makondeni na kulinda kundi lao kwa zamu usiku. Malaika wa Bwana akawatokea ghafula, utukufu wa Bwana ukawang’aria pande zote, wakaingiwa na hofu kuu.

Free Reading Plans and Devotionals related to Lk 2:8-9