YouVersion Logo
Search Icon

Lk 1:5, 6, 7, 8, 9, 10, 11, 12, 13, 14, 15, 16, 17, 18, 19, 20, 21, 22, 23, 24, 25

Lk 1:7 SUV

Nao walikuwa hawana mtoto, maana Elisabeti alikuwa tasa, na wote wawili ni wazee sana.

Lk 1:8 SUV

Basi ikawa, alipokuwa akifanya kazi ya ukuhani katika taratibu ya zamu yake mbele za Mungu

Lk 1:10 SUV

Na makutano yote ya watu walikuwa wakisali nje saa ya kufukiza uvumba.

Lk 1:11 SUV

Akatokewa na malaika wa Bwana, amesimama upande wa kuume wa madhabahu ya kufukizia.

Lk 1:12 SUV

Zakaria alipomwona alifadhaika, hofu ikamwingia.

Lk 1:14 SUV

Nawe utakuwa na furaha na shangwe, na watu wengi watakufurahia kuzaliwa kwake.

Lk 1:16 SUV

Na wengi katika Waisraeli atawarejeza kwa Bwana Mungu wao.

Lk 1:21 SUV

Na wale watu walikuwa wakimngojea Zakaria, wakastaajabia kukawia kwake mle hekaluni.

Lk 1:23 SUV

Ikawa siku za huduma yake zilipokuwa zimetimia akaenda nyumbani kwake.

Lk 1:24 SUV

Hata baada ya siku zile mkewe Elisabeti alichukua mimba akatawa miezi mitano, akisema

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy