YouVersion Logo
Search Icon

Yn 4:1, 2, 3, 5, 6, 7, 8, 9, 10, 11, 12, 13, 14, 15, 16, 17, 18, 19, 20, 21, 22, 23, 24, 25, 26

Yn 4:2 SUV

(lakini Yesu mwenyewe hakubatiza, bali wanafunzi wake,)

Yn 4:3 SUV

aliacha Uyahudi, akaenda zake tena mpaka Galilaya.

Yn 4:7 SUV

Akaja mwanamke Msamaria kuteka maji. Yesu akamwambia, Nipe maji ninywe.

Yn 4:8 SUV

Kwa maana wanafunzi wake wamekwenda mjini kununua chakula.

Yn 4:13 SUV

Yesu akajibu, akamwambia, Kila anywaye maji haya ataona kiu tena

Yn 4:15 SUV

Yule mwanamke akamwambia, Bwana, unipe maji hayo, nisione kiu, wala nisije hapa kuteka.

Yn 4:16 SUV

Yesu akamwambia, Nenda kamwite mumeo, uje naye hapa.

Yn 4:17 SUV

Yule mwanamke akajibu, akasema, Sina mume. Yesu akamwambia, Umesema vema, Sina mume

Yn 4:18 SUV

kwa maana umekuwa na waume watano, naye uliye naye sasa siye mume wako; hapo umesema kweli.

Yn 4:19 SUV

Yule mwanamke akamwambia, Bwana, naona ya kuwa u nabii!

Yn 4:22 SUV

Ninyi mnaabudu msichokijua; sisi tunaabudu tukijuacho; kwa kuwa wokovu watoka kwa Wayahudi.

Yn 4:24 SUV

Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.

Yn 4:26 SUV

Yesu akamwambia, Mimi ninayesema nawe, ndiye.

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy