YouVersion Logo
Search Icon

Mithali 4:18-19

Mithali 4:18-19 NEN

Njia ya wenye haki ni kama nuru ya kwanza ya mapambazuko, ambayo hungʼaa zaidi na zaidi hadi mchana mkamilifu. Lakini njia ya waovu ni kama giza nene; hawajui kinachowafanya wajikwae.