YouVersion Logo
Search Icon

Mithali 22:5-6

Mithali 22:5-6 NENO

Katika mapito ya waovu kuna miiba na mitego, bali yeye ailindaye nafsi yake hukaa mbali nayo. Mfundishe mtoto njia impasayo kuiendea, naye hataiacha hata akiwa mzee.