YouVersion Logo
Search Icon

Malaki 3:1

Malaki 3:1 NENO

“Angalieni, nitamtuma mjumbe wangu, atakayeiandaa njia mbele yangu. Ndipo ghafula Bwana mnayemtafuta atakuja hekaluni mwake. Mjumbe wa agano, ambaye mnamwonea shauku, atakuja,” asema BWANA wa majeshi.

Video for Malaki 3:1

Free Reading Plans and Devotionals related to Malaki 3:1