YouVersion Logo
Search Icon

Yeremia 23:5-6

Yeremia 23:5-6 NENO

BWANA asema, “Siku zinakuja, nitakapomwinulia Daudi Tawi lenye haki, Mfalme atakayetawala kwa hekima, na kutenda lililo haki na sawa katika nchi. Katika utawala wake, Yuda ataokolewa, na Israeli ataishi salama. Hili ndilo jina atakaloitwa: BWANA ni Haki Yetu.”

Video for Yeremia 23:5-6