YouVersion Logo
Search Icon

Wagalatia 2:20

Wagalatia 2:20 NENO

Nimesulubiwa pamoja na Kristo, wala si mimi tena ninayeishi, bali Kristo ndiye aishiye ndani yangu. Uhai nilio nao sasa katika mwili, ninaishi kwa imani katika Mwana wa Mungu, aliyenipenda na kujitoa kwa ajili yangu.

Video for Wagalatia 2:20

Free Reading Plans and Devotionals related to Wagalatia 2:20