1
Zaburi 25:5
Biblia Habari Njema
Uniongoze katika ukweli wako na kunifundisha, kwani wewe ni Mungu, mwokozi wangu; ninakutegemea wewe kila siku.
Compare
Explore Zaburi 25:5
2
Zaburi 25:4
Unijulishe njia zako, ee Mwenyezi-Mungu; unifundishe nifuate unayotaka.
Explore Zaburi 25:4
3
Zaburi 25:14
Mwenyezi-Mungu ni rafiki ya wale wamchao; yeye huwajulisha hao agano lake.
Explore Zaburi 25:14
4
Zaburi 25:7
Usikumbuke dhambi na makosa ya ujana wangu; unikumbuke kadiri ya fadhili zako, kwa ajili ya wema wako, ee Mwenyezi-Mungu.
Explore Zaburi 25:7
5
Zaburi 25:3
Usimwache anayekutumainia apate aibu; lakini waaibike wote wanaokuasi kwa makusudi.
Explore Zaburi 25:3
YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy
Home
Bible
Plans
Videos