1
Zaburi 106:1
Biblia Habari Njema
BHN
Haleluya! Msifuni Mwenyezi-Mungu! Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake zadumu milele!
Compare
Explore Zaburi 106:1
2
Zaburi 106:3
Heri wale wanaotekeleza haki, wanaotenda daima mambo yaliyo sawa.
Explore Zaburi 106:3
3
Zaburi 106:4-5
Unikumbuke ee Mwenyezi-Mungu unapowafadhili watu wako; unisaidie wakati unapowaokoa; ili niweze kuona fanaka ya wateule wako, nipate kufurahia furaha ya taifa lako, na kuona fahari pamoja na watu wako.
Explore Zaburi 106:4-5
Home
Bible
Plans
Videos