1
Waroma 14:17-18
Swahili Roehl Bible 1937
SRB37
Kwani ufalme wake Mungu sio kula na kunywa, ila wongofu na utengemano na ushangilio unaopatikana katika Roho takatifu. Kwani anayemtumikia Kristo na kuyatenda mambo haya humfalia Mungu, tena hupendwa na watu.
Compare
Explore Waroma 14:17-18
2
Waroma 14:8
Kwani tunapokaa humkalia Bwana, tena tunapokufa humfia Bwana. Basi, ikiwa twakaa au ikiwa twafa, sisi tu wa Bwana.
Explore Waroma 14:8
3
Waroma 14:19
Basi, kwa hiyo tukaze kuyafuata mambo yanayopatanisha, ni yaleyale yanayotujenganisha!
Explore Waroma 14:19
4
Waroma 14:13
Basi, tusiumbuane wenyewe tena, ila mjue, ya kuwa ni kuumbua, mtu akimtegea ndugu yake, ajigonge au ajikwae!
Explore Waroma 14:13
5
Waroma 14:11-12
Kwani imeandikwa: Bwana anasema: Kwa hivyo, nilivyo Mwenye uzima, wote watanipigia magoti, nazo ndimi zote zitamwungama Mungu. Basi, kwa hiyo sisi sote kila mmoja atajisemea mwenyewe mbele ya Mungu.
Explore Waroma 14:11-12
6
Waroma 14:1
Aliye mnyonge wa kumtegemea Bwana mpokeeni pasipo kubishana naye mawazo ya moyo!
Explore Waroma 14:1
7
Waroma 14:4
Wewe u nani ukimwumbua mtumishi wa mwingine? Akiwa amesimama au akiwa ameanguka, yote humfanyizia Bwana wake mwenyewe. Lakini atainuliwa, kwani Bwana anaweza kumwinua.
Explore Waroma 14:4
Home
Bible
Plans
Videos