1
Mateo 9:37-38
Swahili Roehl Bible 1937
SRB37
Ndipo, alipowaambia wanafunzi wake: Mavuno ni mengi, lakini watenda kazi ni wachache. Mwombeni mwenye mavuno, apeleke watenda kazi katika mavuno yake!*
Compare
Explore Mateo 9:37-38
2
Mateo 9:13
Lakini nendeni zenu, mkajifunze maana ya neno hili: Huruma ndizo, nizitakazo, lakini vipaji vya tambiko sivyo. Kwani sikujia kuwaita wongofu, ila wakosaji.*
Explore Mateo 9:13
3
Mateo 9:36
Lakini alipowatazama makundi ya watu akawaonea uchungu, kwani walikuwa wamechoka kwa kuteswa na kutawanyishwa kama kondoo wasio na mchungaji.
Explore Mateo 9:36
4
Mateo 9:12
Yesu alipoyasikia akasema: walio wazima hawapaswi na mganga, ila walio wagonjwa.
Explore Mateo 9:12
5
Mateo 9:35
*Yesu akawa akizunguka mijini mote na vijijini, akawafundisha katika nyumba zao za kuombea, akautangaza Utume mwema wa ufalme, akaponya ugonjwa wote na unyonge wote.
Explore Mateo 9:35
Home
Bible
Plans
Videos