1
Mateo 10:16
Swahili Roehl Bible 1937
SRB37
Tazameni, mimi nawatuma, mwe kama kondoo walio katikati ya mbwa wa mwitu. Kwa hiyo mwe wenye mizungu kama nyoka, tena mwe wakweli, kama njiwa walivyo! Jilindeni kwa ajili ya watu!
Compare
Explore Mateo 10:16
2
Mateo 10:39
Mwenye kuiponya roho yake ataiangamiza; mwenye kuiangamiza roho yake kwa ajili yangu ataiponya.
Explore Mateo 10:39
3
Mateo 10:28
Tena msiwaogope wanaoweza kuiua miili tu, wasiweze kuziua nazo roho! Lakini mfulize kumwogopa anayeweza kuziangamiza roho pamoja na miili shimoni mwa moto!
Explore Mateo 10:28
4
Mateo 10:38
Tena asiyejitwisha msalaba wake na kunifuata nyuma yangu hanipasi.
Explore Mateo 10:38
5
Mateo 10:32-33
Kila atakayeungama mbele ya watu, kwamba ni mtu wangu, nami nitaungama mbele ya Baba yangu wa mbinguni, kwamba ni mtu wangu. Lakini atakayenikana mbele ya watu, nami nitamkana mbele ya Baba yangu wa mbinguni.*
Explore Mateo 10:32-33
6
Mateo 10:8
Walio wagonjwa waponyeni, waliokufa wafufueni, wenye ukoma watakaseni, nazo pepo zifukuzeni! Bure mmeyapata, tena yatoeni bure!
Explore Mateo 10:8
7
Mateo 10:31
Kwa hiyo msiogope ninyi mnapita videge vingi!
Explore Mateo 10:31
8
Mateo 10:34
Msidhani, ya kuwa nimejia kuiletea nchi utengemano! Sikujia kuleta utengemano, ila upanga.
Explore Mateo 10:34
Home
Bible
Plans
Videos