1
Warumi 7:25
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Namshukuru Mungu, kwa Yesu Kristo Bwana wetu. Bassi, kama ni hivi, kwa akili zangu naitumikia sharia ya Mungu, bali kwa mwili sharia ya dhambi.
Compare
Explore Warumi 7:25
2
Warumi 7:18
Kwa maana najua ya kuwa ndani yangu, yaani ndani ya mwili wangu, halikai neno jema: kwa kuwa kutaka ni katika uwezo wangu, bali kutenda lililo jema sipati.
Explore Warumi 7:18
3
Warumi 7:19
Kwa maana lile jema nilipendalo, silitendi, bali lile baya nisilolipenda ndilo nilitendalo.
Explore Warumi 7:19
4
Warumi 7:20
Bassi kama lile nisilolipenda ndilo nilitendalo, si mimi nilitendae, bali ile dhambi ikaayo ndani yangu.
Explore Warumi 7:20
5
Warumi 7:21-22
Bassi nimeona sharia hii ya kuwa nipendapo kutenda lililo jema, liapo lililo baya ni karibu nami. Kwa maana naifurahia sharia ya Mungu kwa mtu wa ndani
Explore Warumi 7:21-22
6
Warumi 7:16
Lakini kama nikilitenda lile nisilolipenda, nakiri ya kuwa sheria ile ni njema.
Explore Warumi 7:16
Home
Bible
Plans
Videos