1
Warumi 6:23
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; hali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu.
Compare
Explore Warumi 6:23
2
Warumi 6:14
Kwa maana dhambi haitawatawala ninyi, kwa sababu hamwi chini ya sharia, hali chini ya neema.
Explore Warumi 6:14
3
Warumi 6:4
Bassi tulizikwa pamoja nae kwa njia ya ubatizo katika mauti yake, kusudi kama Kristo alivyofufuka kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi tutembee katika upya wa uzima.
Explore Warumi 6:4
4
Warumi 6:13
wala msitoe viungo vyenu kuwa silaha ya dhulumu kwa dhambi; bali jitoeni nafsi zenu sadaka kwa Mungu kama walio hayi baada ya kufa, na viungo vyenu kwa Mungu kuwa silaha za haki.
Explore Warumi 6:13
5
Warumi 6:6
tukijua haya, ya kuwa mtu wetu wa kale alisulibishwa pamoja nae, illi mwili wa dhambi ubatilike, tusitumikie dhambi tena
Explore Warumi 6:6
6
Warumi 6:11
Vivyo hivyo na ninyi jihesabuni kuwa wafu kwa dhambi, na wahayi kwa Mungu katika Kristo Yesu.
Explore Warumi 6:11
7
Warumi 6:1-2
TUSEME nini bass? Tudumu katika dhambi illi neema iwe nyingi zaidi? Hasha! Sisi tulioifia dhambi tutaishije tena katika dhambi?
Explore Warumi 6:1-2
8
Warumi 6:16
Hamjui ya kuwa kwake yeye ambae mnajitoa nafsi zenu kuwa watumwa wake na kumtumikia, m watumwa wake yule mmtiiye, ikiwa utumishi wa dhambi uletao mauti, au utumishi wa utii uletao haki.
Explore Warumi 6:16
9
Warumi 6:17-18
Lakini Mungu ashukuriwe, kwa maana mlikuwa watumwa wa dhambi, lakini mliitii kwa mioyo yenu ile namna ya elimu ambayo mliwekwa chini yake; na mlipokwisha kuandikwa huru mkawa mbali ya dhambi, mlifanywa watumwa wa haki.
Explore Warumi 6:17-18
Home
Bible
Plans
Videos