1
Matendo 17:27
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
illi wamtafute Mungu, ingawa ni kwa kupapasapapasa, wakamwone, ijapokuwa hawi mbali na killa mmoja wenu.
Compare
Explore Matendo 17:27
2
Matendo 17:26
Nae alifanya killa taifa ya wana Adamu kuwa wa damu moja, wakae juu ya uso wa inchi yote, akiisha kuwaandikia nyakati alizowaamuru tangu zamani, na mipaka ya makazi yao
Explore Matendo 17:26
3
Matendo 17:24
Mungu aliyeufanya ulimwengu na vitu vyote vilivyomo, yeye, kwa kuwa ni Bwana wa mbingu na inchi, hakai katika hekalu zilizojengwa kwa mikono
Explore Matendo 17:24
4
Matendo 17:31
Kwa maana ameweka siku atakayowahukumu walimwengu kwa haki, kwa ujumbe wa mtu yule aliyemchagua; nae amewapa watu wote bayana ya mambo haya kwa kumfufua katika wafu.
Explore Matendo 17:31
5
Matendo 17:29
Bassi, kwa kuwa sisi tu wazao wa Mungu, haitupasi kudhani ya kuwa Uungu ni mfano wa dhahabu au fedha au jiwe, vitu vilivyochongwa kwa ustadi na akili za wana Adamu.
Explore Matendo 17:29
Home
Bible
Plans
Videos