1
Matendo 16:31
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Wakamwambia, Mwamini Bwana Yesu Kristo, nawe utaokoka pamoja na uyumba yako.
Compare
Explore Matendo 16:31
2
Matendo 16:25-26
Lakini panapo usiku wa manane Paolo na Sila walikuwa wakimwomba Mungu na kumwimbia nyimbo za kumsifu, na wafungwa wengine walikuwa wakisikiliza. Ghafula pakawa tetemeko kuu la inchi, hatta misingi ya gereza ikatikisika, na marra hiyo milango ikafunguka, vifungo vya watu wote vikalegezwa.
Explore Matendo 16:25-26
3
Matendo 16:30
kiisha akawaleta nje akasema, Bwana zangu, nifanye nini nipate kuokoka?
Explore Matendo 16:30
4
Matendo 16:27-28
Yule mlinzi wa gereza akaamka, akaona ya kuwa milango ya gereza imefunguka, akafuta upanga wake, akataka kujiua, akidhani ya kuwa wafungwa wamekimbia. Paolo akapaaza sauti yake kwa uguvu, akisema, Usijidhuru, kwa maana sisi sote tupo hapa.
Explore Matendo 16:27-28
Home
Bible
Plans
Videos