1
Yobu 4:4-6
BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
SWC02
Maneno yako yamewainua moyo, umewaimarisha waliokosa nguvu. Lakini sasa shida imekupata nawe unaregea. Imekugusa, nawe unafazaika. Kumwogopa Mungu si ndilo tegemeo lako? Na ukamilifu wa mwenendo wako si ndilo tumaini lako?
Compare
Explore Yobu 4:4-6