1
Yeremia 9:23-24
BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
SWC02
Anayetaka kujivuna, ajivune kwamba ananifahamu mimi, kwamba anajua kwamba mimi Yawe ninatenda mema, ninafanya mambo ya haki kufuatana na sheria yangu katika dunia. Watu wa namna hiyo ndio wanaonipendeza. –Ni ujumbe wa Yawe. Siku zinakuja ambapo nitawaazibu wote waliotahiriwa kimwili tu. –Ni ujumbe wa Yawe.– Ni kusema nitawaazibu
Compare
Explore Yeremia 9:23-24
2
Yeremia 9:13-14
Wamefuata ugumu wa mioyo yao, wakaenda kuabudu miungu inayoitwa Mabali kama walivyofundishwa na babu zao. Basi, Yawe wa majeshi, Mungu wa Israeli, anasema hivi: Nitawakulisha watu hawa uchungu na kuwapa maji yenye sumu wakunywe.
Explore Yeremia 9:13-14