1
Yeremia 28:9
BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
SWC02
Lakini nabii anayetabiri maneno ya amani, anaweza kutambulikana kama ni nabii aliyetumwa na Yawe, wakati mambo aliyotabiri yanapotokea.
Compare
Explore Yeremia 28:9
2
Yeremia 28:15-16
Basi, nabii Yeremia akamwambia nabii Hanania: Sikiliza, Hanania. Yawe hakukutuma, nawe unawafanya watu hawa waamini uongo. Kwa hiyo Yawe anasema hivi: Nitakuondoa katika dunia. Mwaka huuhuu utakufa, kwa sababu umewasukuma watu wamwasi Yawe.
Explore Yeremia 28:15-16
3
Yeremia 28:17
Mwaka huohuo, katika mwezi wa saba, nabii Hanania akakufa.
Explore Yeremia 28:17