YouVersion Logo
Search Icon

Yeremia 28:15-16

Yeremia 28:15-16 SWC02

Basi, nabii Yeremia akamwambia nabii Hanania: Sikiliza, Hanania. Yawe hakukutuma, nawe unawafanya watu hawa waamini uongo. Kwa hiyo Yawe anasema hivi: Nitakuondoa katika dunia. Mwaka huuhuu utakufa, kwa sababu umewasukuma watu wamwasi Yawe.

Video for Yeremia 28:15-16