1
Yeremia 12:1
BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
SWC02
Ee Yawe, wewe ni mwenye haki, ingawa nitakushitaki. Lakini ningependa nibishane nawe juu ya mambo ya haki: Kwa nini waovu wanafanikiwa katika mambo yao? Mbona wote wanaodanganya wanastawi?
Compare
Explore Yeremia 12:1
2
Yeremia 12:2
Umewapanda nao wameota mizizi, wanastawi na kuzaa matunda. Wanakujua kwa midomo tu, lakini mioyo yao iko mbali nawe.
Explore Yeremia 12:2