1
Isaya 5:20
BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
SWC02
Ole kwao wanaosema ubaya ni uzuri na uzuri ni ubaya. Wanasema giza ni mwangaza na mwangaza ni giza. Wanasema kichungu ni kitamu na kitamu ni kichungu.
Compare
Explore Isaya 5:20
2
Isaya 5:21
Ole kwao wanaojiona kuwa wenye hekima na akili.
Explore Isaya 5:21
3
Isaya 5:13
Kwa hiyo, watu wangu watapelekwa katika uhamisho kwa sababu ya ukosefu wao wa akili. Wakubwa wao watakufa na njaa, watu wengi watakufa na kiu.
Explore Isaya 5:13