1
Isaya 39:8
BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
SWC02
Naye Hezekia akamwambia Isaya: Neno la Yawe ulilosema ni zuri. Alisema hivyo maana alifikiri: Kutakuwa amani na salama muda wote wa maisha yangu.
Compare
Explore Isaya 39:8
2
Isaya 39:6
Siku zinakuja ambapo vyote vinavyokuwa katika nyumba yako na vitu vyote babu zako walivyokusanya mpaka leo, vitapelekwa Babeli. Hakuna kitu chochote kitakachobaki. –Ni Yawe anayesema hivyo.
Explore Isaya 39:6