1
Isaya 35:10
BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
SWC02
Waliokombolewa na Yawe watarudi, watakuja Sayuni wakipiga vigelegele. Watakuwa wenye furaha ya milele, watajaliwa furaha na shangwe; huzuni na kilio vitatoweka kabisa.
Compare
Explore Isaya 35:10
2
Isaya 35:3-4
Muimarishe mikono zaifu, mukaze magoti yanayoregea. Muwaambie waliovunjika moyo: Mujipe moyo, musiogope! Muangalie Mungu wenu atakuja kulipiza kisasi, atakuja kuwaazibu waadui zenu; atakuja yeye mwenyewe kuwaokoa ninyi.
Explore Isaya 35:3-4
3
Isaya 35:8
Humo kutakuwa barabara kubwa, nayo itaitwa Njia Takatifu. Watu wachafu hawatapitia humo, lakini wale watu wa Mungu tu; wapumbafu hawatakanyaga ndani yake
Explore Isaya 35:8
4
Isaya 35:5
Hapo vipofu wataona tena, na viziwi watasikia tena.
Explore Isaya 35:5
5
Isaya 35:6
Viwete watarukaruka kama paa, na bubu wataimba kwa furaha. Maji yatabubujika katika jangwa na vijito katika mbuga.
Explore Isaya 35:6