1
Amosi 8:11
BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
SWC02
Siku zinakuja ambapo nitaleta njaa katika inchi. –Ni ujumbe wa Yawe.– Lakini si njaa ya kukosa chakula wala kiu ya kukosa maji, lakini njaa ya kusikia maneno ya Yawe.
Compare
Explore Amosi 8:11
2
Amosi 8:12
Watu watatangatanga kutoka bahari hata bahari, kutoka upande wa kaskazini mpaka wa mashariki. Watakimbia huko na huko wakitafuta neno la Yawe, lakini hawatalipata.
Explore Amosi 8:12