1
Wakolosai 1:13
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
TKU
Mungu ametuweka huru kutoka katika nguvu za giza. Naye ametuingiza katika ufalme wa Mwanaye mpendwa.
Compare
Explore Wakolosai 1:13
2
Wakolosai 1:16
Kwa uweza wake, vitu vyote viliumbwa: vitu vya angani na ardhini, vinavyoonekana na visivyoonekana, watawala wote wa kiroho, wakuu, enzi, na mamlaka. Kila kitu kiliumbwa kupitia Yeye na kwa ajili yake.
Explore Wakolosai 1:16
3
Wakolosai 1:17
Mwana alikuwapo kabla ya kuumbwa kitu chochote, na vyote vinaendelea kuwepo kwa sababu yake.
Explore Wakolosai 1:17
4
Wakolosai 1:15
Hakuna anayeweza kumwona Mungu, lakini Mwana anafanana kabisa na Mungu. Anatawala juu ya kila kitu kilichoumbwa.
Explore Wakolosai 1:15
5
Wakolosai 1:9-10
Ndugu zangu tangu siku tuliposikia mambo haya juu yenu, tumeendelea kuwaombea, na haya ndiyo maombi yetu kwa ajili yenu: Kwamba Mungu awajaze ufahamu wa mapenzi yake kwa kuwapa hekima na ufahamu wote wa kiroho mnaohitaji; ili hayo yawasaidie kuishi maisha yanayomletea Bwana heshima na kumpendeza yeye katika hali zote; ili maisha yenu yazae matunda mema ya aina mbalimbali na mpate kuongezeka katika maarifa yenu ya Mungu
Explore Wakolosai 1:9-10
Home
Bible
Plans
Videos