1
Zekaria 7:9
Neno
NEN
“Hivi ndivyo asemavyo BWANA wa majeshi: ‘Fanyeni hukumu za haki, onesheni rehema na huruma ninyi kwa ninyi.
Compare
Explore Zekaria 7:9
2
Zekaria 7:10
Msimdhulumu mjane wala yatima, mgeni wala maskini. Msiwaziane mabaya mioyoni mwenu ninyi kwa ninyi.’
Explore Zekaria 7:10