1
Zekaria 6:12
Neno
NEN
Umwambie hili ndilo asemalo BWANA wa majeshi: ‘Huyu ndiye mtu anayeitwa Tawi, naye atachipua kutoka mahali pake na kujenga Hekalu la BWANA.
Compare
Explore Zekaria 6:12
2
Zekaria 6:13
Ni yeye atakayejenga Hekalu la BWANA, naye atavikwa utukufu na ataketi kumiliki kwenye kiti cha enzi. Atakuwa kuhani kwenye kiti chake cha enzi. Hapo patakuwa na amani kati ya hao wawili.’
Explore Zekaria 6:13