1
Zekaria 4:6
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Kisha akaniambia, “Hili ni neno la BWANA kwa Zerubabeli: ‘Si kwa uwezo, wala si kwa nguvu, bali ni kwa Roho wangu,’ asema BWANA wa majeshi.
Compare
Explore Zekaria 4:6
2
Zekaria 4:10
“Ni nani atakayeidharau siku ya mambo madogo? Macho saba ya BWANA, yanayozunguka dunia yote, yatashangilia yatakapoona jiwe la juu kabisa likiwa mkononi mwa Zerubabeli!”
Explore Zekaria 4:10
3
Zekaria 4:9
“Mikono ya Zerubabeli iliweka msingi wa Hekalu hili, mikono yake pia italimalizia. Kisha mtajua ya kuwa BWANA wa majeshi amenituma mimi kwenu.
Explore Zekaria 4:9
Home
Bible
Plans
Videos