1
Zekaria 3:4
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Malaika akawaambia wale waliokuwa wamesimama mbele yake, “Mvueni hizo nguo zake chafu.” Kisha akamwambia Yoshua, “Tazama, nimeiondoa dhambi yako, nami nitakuvika mavazi ya kitajiri.”
Compare
Explore Zekaria 3:4
2
Zekaria 3:7
“Hivi ndivyo asemavyo BWANA wa majeshi: ‘Ikiwa utatembea katika njia zangu na kushika maagizo yangu, basi utaitawala nyumba yangu na kuzilinda nyua zangu, nami nitakupa nafasi miongoni mwa hawa wasimamao hapa.
Explore Zekaria 3:7
Home
Bible
Plans
Videos