1
Zekaria 1:3
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Kwa hiyo waambie watu: Hili ndilo asemalo BWANA wa majeshi: ‘Nirudieni mimi,’ asema BWANA wa majeshi, ‘nami nitawarudia ninyi,’ asema BWANA wa majeshi.
Compare
Explore Zekaria 1:3
2
Zekaria 1:17
“Endelea kutangaza zaidi kwamba: Hivi ndivyo asemavyo BWANA wa majeshi: ‘Miji yangu itafurika tena ustawi na BWANA atamfariji tena Sayuni na kumchagua Yerusalemu.’ ”
Explore Zekaria 1:17
Home
Bible
Plans
Videos