1
Zaburi 89:15
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Heri ni wale ambao wamejifunza kukusifu kwa shangwe, wanaotembea katika mwanga wa uwepo wako, Ee BWANA.
Compare
Explore Zaburi 89:15
2
Zaburi 89:14
Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chako cha enzi; upendo na uaminifu vinakutangulia.
Explore Zaburi 89:14
3
Zaburi 89:1
Nitaimba kuhusu upendo mkuu wa BWANA milele; kwa kinywa changu nitavijulisha vizazi vyote uaminifu wako.
Explore Zaburi 89:1
4
Zaburi 89:8
Ee BWANA, Mungu wa majeshi, ni nani aliye kama wewe? Ee BWANA, wewe ni mwenye nguvu, na uaminifu wako unakuzunguka.
Explore Zaburi 89:8
Home
Bible
Plans
Videos