1
Zaburi 1:1-2
Neno: Bibilia Takatifu
Heri mtu yule ambaye haendi katika shauri la watu waovu, wala hasimami katika njia ya wenye dhambi, au kuketi katika baraza la wenye mizaha. Bali huifurahia sheria ya BWANA, naye huitafakari hiyo sheria usiku na mchana.
Compare
Explore Zaburi 1:1-2
2
Zaburi 1:3
Mtu huyo ni kama mti uliopandwa kando ya vijito vya maji, ambao huzaa matunda kwa majira yake na majani yake hayanyauki. Lolote afanyalo hufanikiwa.
Explore Zaburi 1:3
3
Zaburi 1:6
Kwa maana BWANA huziangalia njia za mwenye haki, bali njia ya waovu itaangamia.
Explore Zaburi 1:6
YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy
Home
Bible
Plans
Videos