1
Malaki 4:5-6
Neno
NEN
“Tazama, nitawapelekea nabii Eliya kabla ya kuja siku ile iliyo kuu na ya kutisha ya BWANA. Ataigeuza mioyo ya baba iwaelekee watoto wao, na mioyo ya watoto iwaelekee baba zao, la sivyo nitakuja na kuipiga nchi kwa laana.”
Compare
Explore Malaki 4:5-6
2
Malaki 4:1
“Hakika siku inakuja, itawaka kama tanuru. Wote wenye kiburi na watenda maovu watakuwa mabua makavu, na siku ile inayokuja itawawasha moto,” asema BWANA wa majeshi. “Hakuna mzizi wala tawi litakalosalia kwao.
Explore Malaki 4:1