1
Isaya 39:8
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Hezekia akamjibu Isaya, “Neno la BWANA ulilosema ni jema.” Kwa kuwa alifikiri, “Kutakuwa amani na usalama wakati wa uhai wangu.”
Compare
Explore Isaya 39:8
2
Isaya 39:6
Hakika wakati unakuja ambapo vitu vyote katika jumba lako la kifalme, na vyote ambavyo baba zako waliweka akiba hadi siku hii, vitachukuliwa kwenda Babeli. Hakuna chochote kitakachosalia, asema BWANA.
Explore Isaya 39:6
Home
Bible
Plans
Videos