1
Hosea 1:2
Neno
NEN
BWANA alipoanza kuzungumza kupitia Hosea, BWANA alimwambia, “Nenda ukajitwalie mwanamke wa uzinzi na watoto wa uzinzi, kwa sababu nchi ina hatia ya uzinzi wa kupindukia kwa kumwacha BWANA.”
Compare
Explore Hosea 1:2
2
Hosea 1:7
Hata hivyo nitaonesha upendo kwa nyumba ya Yuda, nami nitawaokoa si kwa upinde, upanga au vita, wala kwa farasi na wapanda farasi, bali kupitia BWANA Mungu wao.”
Explore Hosea 1:7
Home
Bible
Plans
Videos