YouVersion Logo
Search Icon

Hosea 1:7

Hosea 1:7 NEN

Hata hivyo nitaonesha upendo kwa nyumba ya Yuda, nami nitawaokoa si kwa upinde, upanga au vita, wala kwa farasi na wapanda farasi, bali kupitia BWANA Mungu wao.”

Related Videos