Upendo Wa BureHalimbawa

Kutoka Maisha ya Unyonge hadi Wakati wa Kurudisha Fahamu
Luka 15: 17 inatueleza, “Hatimaye akili zikamrudia” Ni jambo la umuhimu sana, kwa watu wote, kufikia wakati huu. Wakati wa kuona wazi. Wakati wa kutambua wazi na kuwaza “Ngoja kidogo. Ni nini ninachofanya hapa? Nimekuwa nani? Mbona ninaishi hivi? Lazima kuwe na mtindo wa kuridhisha, mtindo mwema katika maisha!”
Wengi wenu wanahitaji kurudisha fahamu kama Mwana Mpotevu! Labda ulikuwa katika kanisa au aulikuwa mfuasi wake Yesu mbeleni? Unatakiwa kufahamu kwamba sababu zako duni za kusonga kando na imani yako na kufuatilia mambo ya dunia – hazileti shangwe au nafaka yoyote. Yeremia 2:5 inatupatia onyo, “Bwana asema hivi, Baba zenu waliona dhuluma gani kwangu, hata wakafarakana nami, wakafuata ubatili, nao wakawa ubatili?” Dunia ilikudanganya na ulikubali uwongo huu! Dunia ilikuahidi utulivu, furaha, kutosheka na kuridhika katika maisha jinsi ulivyotaka katika roho yako, lakini ikakuwacha bila nafsi.
Ni wakati wa kurudi nyumbani! Labda haujawahi kuyasikia maneno haya. Labda haukujua kunasuluhisho la maisha ya huzuni na changamoto unayoishi sasa. Labda haukujua kwamba Mungu anayo tiba ya dhambi, magonjwa, kutegemea pombe au madawa ya kulevya na giza zinazojaribu kukumaliza. This is your wake up call – Ni wakati wa kuridi nyumbani! Na Mwana Mpotevu alifanya vivi hivi. Aliamua kunyenyekea, kumridia Baba yake na kujipatia kwake kama mfanyi-kazi wake (kwani wafanyikazi waliishi maisha bora).
Banal na Kasulatan
Tungkol sa Gabay na ito

Kunayo kusudi au sababu la maana sana katika maisha yako inayopita fikira au mawazo yako. Unaifahamu. Unahisi jambo hili moyoni mwako. Kijitabu hiki kitakuwa nguzo ya kubadilisha maisha ya wote watakayo kisoma. Funzo au hadithi ya Mwana Mpotevu imegusa mioyo ya mamillioni kote duniani. Siku saba zijayo, utapata kufahamu funzo hili kwa mfano tofauti.
More
Mga Kaugnay na Gabay

BibleProject | Bagong Kasunduan, Bagong Karunungan

Masayahin ang ating Panginoon

Ang Kahariang Bali-baliktad

Ang Kwento ng Naglayas na Anak

BibleProject | Maikling Kurso tungkol kay Apostol Pablo

Prayer

Nilikha Tayo in His Image

Sa Paghihirap…

Mag One-on-One with God
